Watumishi na waajiriwa wa Halimashauri ya jiji la Arusha wametakiwa kufanya kazi zao kwa mujibu wa taratibu na sharia pamoja na miongozo yao ya kazi pasipo kutengeneza mazingira yoyote yale ya kumwonea mwanachi yoyote yule mkazi wa mkoa wa Arusha .
Rai hiyo imetolewa na mkuu wa mkoa wa Arusha Bwana Kenani Kihongosi wakati akizungumza na wamiliki na watumishi wa Salooni kike na kiume jijiini Arusha wakati akijibu malamiko ya mmiliki wa salooni Bi Rose Barage.
Ambapo Bib Rose aliamweleza mkuu mkoa kuhusiana na manayanyaso anayoyapata pamoja kutoka kwa mtu aliyetambulika kwa jina la Lusekelo anayetambulika kama mmikliki aliyekodisha chumba cha biashara halimashauri ya jiji la Arusha na KUmpangishia yeye kwa bei kubwa.
Kutokana malamiko hayo mkuu wa mkoa Bwana Kihongosi alimwagiza mkurugenzi wa jiji la Arusha kuhakikisha wanampatia siku hii ya leo mkataba Bib Rose ilitokane na manyaso hayo pamoja na vitisho kwa hao kina Lusekelo.